24 Jan 2016

MJUE MUANDISHI NA KALAMU YAKE. Frank Masai

 MJUE MUANDISHI NA KALAMU YAKE.
Habari za wakati huu wapenzi wa hadithi fupifupi na ndefundefu. Naam, nakukaribisheni kwa mara nyingine tena kwenye makala yetu hii ya 'MJUE MUANDISHI NA KALAMU YAKE' ninae kuletea makala hii ni mimi Zubery Razuur Mavugo. Leo tuta yatazamia maisha ya Muandishi kwa jina la Frank Masai.
HISTORIA YA MAISHA YAKE KWA UFUPI.
Kwa majina anaitwa Frank Masai[hatuja fanikiwa kujua zaidi maana ya majina yake kwakuwa makala yetu ni bado ni mbegu]. Amezaliwa tarehe

16 Jan 2016

Hadithi App Page

Ni Page ya App yetu ya Hadithi App, ambayo inakuwezesha jinsi ya kuitumia na kusoma hadithi zetu. unaweza kusoma Riwaya zetu ukiwa mahali popote na kwawakati wowote. 
Bonyeza link yetu kuingia kwenye page yetu.


https://www.facebook.com/Habari-za-Waandishi-155495244812316/

Katika maisha kuna vitu vinaweza kukupa

13 Jan 2016

SEX DEALERS

Sex dealers, stori inayo wahusu wanafunzi wa chuo kikuu wanao amua kujikita katika biashara ya NGONO ili kujipatia maslai makubwa. Ungana nami @eddy_msulwa leo na uanze kufwatilia kisa hichi cha kusisimua-INSTAMERGR

12 Jan 2016

JINI MAHABATI. Na. ELIADO TARIMO

Yule fundi Mkali wa machombezo nchini ELIADO TARIMO
ambaye mwaka mzima alisumbua na kigongo kitwacho UTAMU WA BINAMU soon anachia hii kigongo kiitwacho JINI MAHABATI ambacho kitakuwa ni zaidi yayote maana siyakukosa kabisa mtu wangu nawezaje? kukosa kwa mtonyo mdogo tu wa 3000/= acha masihala wewe mimi tunaweza kuupata kuleeee kwenye magroup yake ambayo yapo fb pamoja na whatsup

MKONO WA MWANDISHI. Na. Hussein O. Molito









MKONO WA MWANDISHI 
Kwanza kabisa napenda kukutakia heri ya mwaka mpya, wapo wengi ambao wangependa kuuona mwaka huu lakini mapenzi ya Mungu hayakutaka iwe hivyo kwani ajali za barabarani, magonjwa na mambo mbalimbali yamechukua maisha yao.

Translate